Tetesi: D.E.D Tunduma kuwa RC kwa kazi nzuri

Duniahadaa

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2017
Posts
336
Reaction score
677
Kama ilivyotokea kwa Mnyeti kukiri kuwahujumu wapinzani na hatimaye JPM kukunwa na utendaji wake na kumpandisha cheo kutoka u DC hadi u RC. Sasa njiia ni nyeupe kwa DED WA Tunduma, inasemekana wiki ijayo atakuwa RC wa mkoa wa Katavi au Songwe.
 
Huwezi kuwaacha wahamiaji haramu wagombee nafasi za uongozi.
 
Kama ilivyotokea kwa Mnyeti kukiri kuwahujumu wapinzani na hatimaye JPM kukunwa na utendaji wake na kumpandisha cheo kutoka u DC hadi u RC. Sasa njiia ni nyeupe kwa DED WA Tunduma, inasemekana wiki ijayo atakuwa RC wa mkoa wa Katavi au Songwe.
Nilipopewa hiyo tetesi jana jioni nilijua ni uzushi !
 
Kama ilivyotokea kwa Mnyeti kukiri kuwahujumu wapinzani na hatimaye JPM kukunwa na utendaji wake na kumpandisha cheo kutoka u DC hadi u RC. Sasa njiia ni nyeupe kwa DED WA Tunduma, inasemekana wiki ijayo atakuwa RC wa mkoa wa Katavi au Songwe.

Hata hakimu atakayewafunga jela akina Mbowe atapewa ujaji.
 
Hiyo siyo ajabu kwa serikali hii ya awamu ya 5, kwa kuwa kuna ushahidi usio na Shaka yoyote kuwa ndani ya serikali hii "wahalifu" ndiyo wanaoqualify kupanda vyeo!

Hivi ni nani angedhani kwa DC Alexander Mnyeti kupandishwa cheo cha RC wakati ule ambapo mbunge Joshua Nassari alipotoa ushahidi wa wazi kabisa wa namna huyo DC alivyokuwa akimwaga mapesa kiwashawishi madiwani wa Chadema kuhamia CCM??

Badala ya kusimamishwa kazi kupisha uchunguzi, ndiyo kwanza akaukwaa uRC wa Manyara!
 
upinzani acheni kulialia..kama mnashindwa kupambana acheni siasa...Lawrence Kabila alikuwa muuza prawns.. akaingia msituni akamtoa Mobutu..kama njia nyingine ngumu na hamuwezi kujitoa muanga acheni siasa..mnatuchosha na malalamiko yenu..Lissu kapigwa risasi mmeufyata..angusheni na nyie..ovyooo..amani amani ..dunia haina amani ndio maana mtoto akizaliwa analia kasoro wa Bashite...
 
Kama ilivyotokea kwa Mnyeti kukiri kuwahujumu wapinzani na hatimaye JPM kukunwa na utendaji wake na kumpandisha cheo kutoka u DC hadi u RC. Sasa njiia ni nyeupe kwa DED WA Tunduma, inasemekana wiki ijayo atakuwa RC wa mkoa wa Katavi au Songwe.
wampangie DSM maana BASHITE anahamia tarafa ya Mikumi Morogoro
 
Back
Top Bottom