Duniahadaa
JF-Expert Member
- Oct 16, 2017
- 336
- 677
Nilipopewa hiyo tetesi jana jioni nilijua ni uzushi !Kama ilivyotokea kwa Mnyeti kukiri kuwahujumu wapinzani na hatimaye JPM kukunwa na utendaji wake na kumpandisha cheo kutoka u DC hadi u RC. Sasa njiia ni nyeupe kwa DED WA Tunduma, inasemekana wiki ijayo atakuwa RC wa mkoa wa Katavi au Songwe.
Kama ilivyotokea kwa Mnyeti kukiri kuwahujumu wapinzani na hatimaye JPM kukunwa na utendaji wake na kumpandisha cheo kutoka u DC hadi u RC. Sasa njiia ni nyeupe kwa DED WA Tunduma, inasemekana wiki ijayo atakuwa RC wa mkoa wa Katavi au Songwe.
Mbona magogoni tuna mhamiaji haramu?Huwezi kuwaacha wahamiaji haramu wagombee nafasi za uongozi.
wampangie DSM maana BASHITE anahamia tarafa ya Mikumi MorogoroKama ilivyotokea kwa Mnyeti kukiri kuwahujumu wapinzani na hatimaye JPM kukunwa na utendaji wake na kumpandisha cheo kutoka u DC hadi u RC. Sasa njiia ni nyeupe kwa DED WA Tunduma, inasemekana wiki ijayo atakuwa RC wa mkoa wa Katavi au Songwe.
Waandikie idara ya uhamiaji.Mbona magogoni tuna mhamiaji haramu?