D.i.t and mist(mbeya)

D.i.t and mist(mbeya)

ebayzanzibar

Member
Joined
Mar 8, 2013
Posts
6
Reaction score
0
.HABARI WANA JAMII
mimi nimhitimu wa kidato cha nne, ningependa kujua taratibu za kupata nafasi
ya kujiunga na DIT AU MIST, DIPLOMA. sikuchagua kupangiwa tech collg kabla
ya kufanya mtihani, je naweza kupangiwa kwa wakati huu na serikali??
pia ningependa kujua taratibu zote za kujiunga hapo kwa yeyote anaefahamu.
ninavo vigezo vya credit zinazohitajika hapo.
ahsanteni.
 
google wewe kwa kutumia majina ya chuo utapat kila info unayohtaj.kazi kushnda facebook tu mambo ya mana mnaacha kufanya..
 
Hapo c atakuwa kama prvt studnt lakn yye anatak kujua kam anawez kuwa under gvt sponsorship
 
asanteni wakuu, ila hapo nikiapply sitakua private student??????? mimi nilitaka govt sponsershp....
nimepata div 2
 
asanteni wakuu, ila hapo nikiapply sitakua private student??????? mimi nilitaka govt sponsershp....
nimepata div 2

Hauwez kuwa under gvt sponsership ulitakiwa mwanz kabisa katika sel form uweke first selection as technical education lakn kwa sasa haitawezekana mwnzako nilijaza tangu mwanzo
 
Jamani, unajua kutumia JF hapa, ambayo mi naona ungeiacha kwanza usome. Sasa umelewa na JF unashindwa hata ku google masomo yako ambayo ni future yako? Uliijuaje JF? Mi nawashauri wanafunzi muachane na JF
 
Back
Top Bottom