raisi D.Trump ametutoa tongo tongo baadhi yetu au sijui niseme wengi wetu? kumbe biden alikuwa hasaini yeye mikataba mingi na excutive orders bali ni mashine, sasa raisi D.Trump amesema hizo mikataba yoote iliyosainiwa kwa niaba ya biden haitambuliki, kwa maana ni lazima raisi asaini mwenyewe, vp khs tanzagiza na mikataba yetu ????