Kijakazi Platinum Member Joined Jun 26, 2007 Posts 10,860 Reaction score 18,819 Jul 29, 2026 #1 jioneeni wenyewe "beach boys" wa USA wanavyofanya mambo makubwa ku-save life vs tanzagiza vijana wote wanapoteza ujana wao wakishinda kwenye boda boda mpaka wanazeeka, boda boda ni lost generation. huyo dogo aliyeokolewa alikuwa na miaka 10 ... View: https://www.instagram.com/p/DbPB4XHt7da/?utm_source=ig_embed&utm_campaign=embed_video_watch_again View: https://x.com/realDonaldTrump/status/2082159711852298494
jioneeni wenyewe "beach boys" wa USA wanavyofanya mambo makubwa ku-save life vs tanzagiza vijana wote wanapoteza ujana wao wakishinda kwenye boda boda mpaka wanazeeka, boda boda ni lost generation. huyo dogo aliyeokolewa alikuwa na miaka 10 ... View: https://www.instagram.com/p/DbPB4XHt7da/?utm_source=ig_embed&utm_campaign=embed_video_watch_again View: https://x.com/realDonaldTrump/status/2082159711852298494
Amatoro Senior Member Joined Mar 6, 2023 Posts 130 Reaction score 339 Jul 29, 2026 #2 Wanasemaga kila mtu anakula ofisini kwake
dudus JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 25,370 Reaction score 57,943 Jul 29, 2026 #3 Namkumbuka dogo Majaliwa alishawahi kutenda maajabu wakati wa ajali ya Precision Air Z. Victoria kule Bukoba.
Namkumbuka dogo Majaliwa alishawahi kutenda maajabu wakati wa ajali ya Precision Air Z. Victoria kule Bukoba.