The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Kuna mtu nilimwambia wametepeta tayari Nchi za nje zimeitolea macho Tanzania na D9 inakuja hakuna mtu anaweza kurusha risasi kwenye D9 maana huo ni Mtego kwa Police na Vyombo vya dolaYani hao kina Samia wagawe tu hela zao bureee, ila hawazimi moto wa wananchi. Wao hata wajitahidi vipi kuwatia sumu wananchi, hawawezi kuzima moto wa maandamano. Wananchi hawakubali kunyanyasika, kudharaulika, kuibiwa mchana kweupeee kodi zao, kutekwa, kuuwawa, kufungwa jela bila haki,, halafu wakisema useme ni sababu Rais ni Muislam, ni Mzanzibari!!! Hawatupati kwa kweli..
Jar car hire ndiyo MDINI sana ,hata kipindi chake alileta propaganda za UDINI.GT
Kama ilivyomkawaida ya maCCM hawa jmaaa akili hawna hata mbinu za kukabiliana na matatizo hawana they are not problem solvers.
Sasa kutokana na pressure ya maandamano D9 wanepenyeza agenda ya kipumbavu sana engineered from the system maana serikali ipo kimya pamoja na upumbavu unaoendelea.
Mantiki ni kutaka kuonyesha kwamba maahaya ni ya kidini tena Wakatoliki what a shame..yaani kuteka kote kule watu . Kuia kote kule watu mmeshindwa kuwajibika mmetuingizia mashekh ubwabwa?
Wale wa darasa la pili baada ya kupigwa nondo mmekuja na hawa wanaitwa wahadhari still now wanaongea ujinga ule ule bila kuwa na takwimu sahihi.in short ni makada wa CCM hakuna mashekh hapo.
Hapana shida D9 ipo pale pale.
View attachment 3504313
GenZ dini wapi na wapi ndo cha ajabuHiyo battle ya KIDINI ni ya kwenu Wazee, Tutawqacha makatane mapanga huko misikitini na makanisani.
Ushaona GEN Z wanataja taja makanisa na misikiti?
Nipo na wna tushakata kvant nikaplay io clip ya sheh makusudi jamma wanacheka hawa wazee hawana akili Gen Z ukimuona anaenda sijui msikitin au kanisan ujue kaachiwa walimu ndo wanaomsurutisha kwenda ktk ibada kwaufupi propaganda ya Dini kwa tz imefeli vibaya mnoGenZ dini wapi na wapi ndo cha ajabu