Da' Chemi Chemponda afiwa

Poleni sana kwa kuondokewa na Douglas.
Mungu awajalie muweze kuvuka salama kipindi hiki kigumu.
Tuendelee kumuomba Mungu kwa Rehema zake yeye Ampe PUMZIKO LA MILELE.
 
Kuondokewa na Mume, Mke ama mtoto inauma sana, inahitaji uvumilivu wa hali ya juu. Kwa kweli Pole sana Da'Chemi bwana akuongezee nguvu katika kipindi hiki kigumu. Let the Soul of Rev Douglas RIP.
 
R.I.P Reverend Douglas. Poleni Da Chemi na familia nzima, ndugu jamaa na marafiki wa familia hii. Mungu akuongoze vema maisha ya ujane.
 
Pole sana da' chemi kwa msiba huuuu mungu atakupa nguvu katika kipindi hichi kigumu!
 
Mungu akupe nguvu na ujasiri katika jambo hili zito na gumu
tulitoka mavumbini na mavumbini tutarudi
amen
 
Source:http://swahilitime.blogspot.com/


 
RIP Reverend Douglas G. Whitlow na Pole kwako Chemi.
 
Tunampa pole sana Da Chemi kwa msiba huu!

Mwenyezi Mungu akupe subira uishinde mitihanai hii migumu, Nakumbuka miaka ya '90s tulimpoteza aliyekuwa mumeo wa kwanza ambae pia alikuwa mwalimu wetu electrical engineering, wakati ule FoE - Mola awalaze mahala pema peponi, Amen!
 
Pole sana Dada Chemi kwa msiba mkubwa uliokufika. Namuomba Mwenyezi Mungu akupe nguvu na faraja kipindi hiki kigumu kwako na kwa wahusika wote wa msiba huu. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi~AMEN
__________________
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…