Mungu hamtupi mja wake. Tunamtakia kila la heri katika maisha yake ya ufundishaji sokaAliyekuwa kocha wa Simba Gomes Da Rosa awa kocha mkuu wa timu ya taifa Mauritania
Hapo sasa! Au CAF haiangalii timu za taifa?Vyeti vp
luc yupo tunisiaAta Lucy Emely alipata timu Afrika ya Kusini.
Hivi wa south si ndio walitaka kumfungulia mashtaka luc baada ya kuwaita mashabiki wa yanga wanabweka kama mimbwa na manyani? kumbe walimpa kibarua kabisa.Ata Lucy Emely alipata timu Afrika ya Kusini.
Kila la heri kwake.Aliyekuwa kocha wa Simba Gomes Da Rosa awa kocha mkuu wa timu ya taifa Mauritania
Ata Lucy Emely alipata timu Afrika ya Kusini.
Ana makaratasi/vyeti!?Aliyekuwa kocha wa Simba Gomes Da Rosa awa kocha mkuu wa timu ya taifa Mauritania
Yanga vipi weweVyeti vp
Kwanini Mauritania wamemchukua?Ana makaratasi/vyeti!?
Ile digirii ameishaipata?Aliyekuwa kocha wa Simba Gomes Da Rosa awa kocha mkuu wa timu ya taifa Mauritania
Omog..mayanja na phiri je?[emoji23]
Vipi makocha wa zuzu fc?Omog..mayanja na phiri je?[emoji23]