Da Sophy kawaje?

Tuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
11,180
Reaction score
7,346
Naamini Mungu mwenye huruma, mwingi wa baraka na rehema, alimwazesha Da Sophy kajifungua salama...

Nakumbuka mara ya mwisho alikuwa hapa akisema kuwa mimba imepitiliza kidogo.

Kwa anayefahamu aliko amwambie tunammiss, tena tuma ham ya kumpa hongera zake. Ajitokeze...
 
Nadhani ACID anajua alipo huyu dada!
 
woooow kumbe ukibana watafutwa hiviiii!!!!!!!!!!!! basi na mi ntajipoteza,,,,
 
Mimba nyingine zinakaa miaka Mitatu.... Akijifungua atakuja hapa kutujuza...
 
Mimba nyingine zinakaa miaka Mitatu.... Akijifungua atakuja hapa kutujuza...

Askofu unapoteza kumbukumbu za waumini wako....Da Sophy ana mtoto wa kiume, mwenye double chin kama babu yake!
 
Askofu unapoteza kumbukumbu za waumini wako....Da Sophy ana mtoto wa kiume, mwenye double chin kama babu yake!

We ndo babu yake?? asante kwa info... Mleteni nimbatize
 
lakini mi sikutoroka pk au labda ni huyo da sophy we wanifananisha tuu hebu nitazame mi nilham,,,
kama ulivyofanya majuzi eeh?
Vibaya sana hivyo mrembo mwanana!
Hata 'maulana hapendi kuwatoroka waja wenzio !
 

alishakuja kutujuza kuwa kajifungua mtoto wa kiume siku nyingi mbona....wewe tu ndio hukuona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…