Elections 2010 Daa ni hatari kumbe kweli JK aliiba kura....

Kukusaidia labda nikuelekeze mahali penye Maulid ukapate ubwabwa so nakuPM sasa hv we andaa kanzu na ndizi mbivu.
umeogopa.pole sana mtamu.kwahiyo siku nyingine msilete uozo wa post hapa vinginevyo utarushiwa mate ya uzazi.halafu kanzu kama inakukera wambie viongozi wako wa kiroho wazee wakuwachakachua mnapowaendea na ****** yakiwa wazi/uchi kuwa wasizivae.
 

Mr.Mak, You are now on my black list - I have just sent your name to my "ignore" list kwani umeonyesha wazi na wewe uko kwenye payroll ya Nape!!!! Endelea kutetea kitumbua cha watoto anyway!!!!

Tiba
 
umeogopa.pole sana mtamu.kwahiyo siku nyingine msilete uozo wa post hapa vinginevyo utarushiwa mate ya uzazi.halafu kanzu kama inakukera wambie viongozi wako wa kiroho wazee wakuwachakachua mnapowaendea na ****** yakiwa wazi/uchi kuwa wasizivae.
Nikuogope wewe mungu??? Na wewe waambie maustadh waache kuwachakachuwa watoto wa madrasa!!...we pia uache...
 

Nape alikuwa anakutafuta akupatie 2000 zako mmeonana?
 

jaman ebu oneni wenyewe utumbo na mataputapu hapa juu,huyu bibikizee mtumwa na mlamba miguu ya nepi!yupo kazini,hiv wewe lini utaacha kumuomba nepi hakutume ujinga? Ccm nao wajinga haswa yaan wewe wamekuamini kuwa utaeneza propaganda jf.mbona hukuja na kanga na kofia kama kawaida yenu?
 

kama imekuwa hivo basi bora mimi nipo kwa nape kuliko wewe uliye kwa mwizi wa wake za watu ni aibu duniani hadi kwa Mungu.halafu inaonekana nape kawaingia sana vichwani, kumbe nimeamini Nape kawaweza wapambe wa cdm, maana inawauma kwa kasi yake. Mwambie na Sweetlady kuwa ameogopa kusema yuko wapi ili nikamtemee mate ya uzazi. Nape tunakuomba uendelee kuwatia homa hawa vijakazi wa majizi ya wake za watu.
 
Analipwa na CCM buku mbili per day so msamehe bure. Hapa yupo kazini.
Yan huyu buku 2 tu zinamfanya awe zuzu kiasi hiki? Yan anatia huruma kwa kweli, anyway acha apate darasa hapa
y
 
Nape alikuwa anakutafuta akupatie 2000 zako mmeonana?

itakuwa nape kamfunika yule wa cdm aliyekuwa anawalipa ili muandamane. Vipi mbona kule mliko andamana nape akipita anawasilimisha cdm kibao imekuwaje? nape ni funika bovu. Nape amekula kiapo kuiua chadema atahakikisha inabakia screpa na mwisho wa siku na ofisi mtahamishia pale hotelini anapoishi Slaa pale kijichonyama.
 
Ungekuwa na akili timamu ningekuelekeza nilipo. Ila nakuogopa ulivyo taahira... We saizi yako ni hao2 mabinti unaowafundisha madrasa!
 
Mkuu sifahamu umri wako wala kiwango chako cha elimu bt mvuke unaotema hapa unaonyesha una matatizo makubwa.
Tahadhari "KUWA KICHAA SIO MPAKA UVUE NGUO" Jitathmini mwenyewe Makamba
 
Yan huyu buku 2 tu zinamfanya awe zuzu kiasi hiki? Yan anatia huruma kwa kweli, anyway acha apate darasa hapa
y
Lazima awehushwe na buku 2 ndg yangu. Si unajua CCM walimkuta anauza kahawa kijiweni?..ametolewa kwenye maisha magum huyu, alikuwa anauza kahawa ya mia 5 kwa siku, sasa ana uhakika wa buku 2 kwa siku, ataacha kuchanganyikiwa kweli jaman??
 
Yan huyu buku 2 tu zinamfanya awe zuzu kiasi hiki? Yan anatia huruma kwa kweli, anyway acha apate darasa hapa
y

Du kweli hii kali, unajua nyinyi mmezoea kupewa pesa ndio maana utaifa wenu mmeuchimbia ktkt ya miguu yenu na kusahau utaifa.kama unauza utu wako jua kuwa utaitesa nafsi yako milele kwani hautofanikiwa na utaishi maisha kutaka maandamano ili upate pa diem.kule chadema mmezoea kupata buku 10 kwa maandamano. kweli kaka umerudi kuwa mjinga baada ya kusoma, bora ungebakia zuzu usisome kwani rushwa kwako imekuwa ni life style.
 

'kuna vijana tumewatuma wapeleke mashambulizi kwenye mitandao ya kijamii.......'

By Nepi Mnauye
 
Kikwete aliiba ,ndiyo mana sasa hivi nchi wanaiongoza CHADEMA,ANGUKO LA CCM LIMETIMIA.
 

vipi kuhusu ccj na nepi
 
Kikwete aliiba ,ndiyo mana sasa hivi nchi wanaiongoza CHADEMA,ANGUKO LA CCM LIMETIMIA.

There you are, did you here 2011/2012 budget? CHADEMA go go keep on screwing Magamba!
 
Ungekuwa na akili timamu ningekuelekeza nilipo. Ila nakuogopa ulivyo taahira... We saizi yako ni hao2 mabinti unaowafundisha madrasa!

hata tahira akikutemea mate ya uzazi siyo mbaya, na nahisi kuanzia siku hiyo ndio utakoma kutoa rushwa ya ngono huko kazini kwako.mtoto unachakachuliwa mpaka unapoteza utaifa wako, hujulikani tena wewe wa taifa gani kwa jinsi ulivyochakachuka. Halafu unajiona una kazi ya maan? kazi yenyewe wewe kibarua, wewe na muuza kahawa ngoma droo, tena muuza kahawa hana tabu na mambo ya rushwa ya ngono ila wewe toka kwenye interview mpaka leo unachakachuka tu.
 
Hahahahahaaaaaaaa! Unalo shost!......umenifurahsha sana Mrs Nape....lol..... Unajarib jarib kubunia maneno ya kuandika ila hujapatia hata robo.... Hebu endelea kubuni huenda ukapatia.... Hayo ndo matatizo ya kuwekwa mjini na wanaume.... Utatumika wewe mpaka ukome.... Kwa ushauri tu bora urudi kijiweni ukaendelee kuuza gahawa vinginevyo utakufa siku sio zako.... Loooo! Pole jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…