Najisikia mavune kuchangia mada ya huyu Diamond! Hakika nimetokea kutompenda, kutokana na tabia yake ya "chovyachovya" na si vinginevyo!
Naunga mkono hoja! Na wanawake wanaompapatikia yaani sijui nawaonaje tu......mwanamme kutwa kucha kuruka tu na kudhalilisha wenzie khaaa!! Au ndo mauzo hadi kwenye mapenzi??
Kama kadawia ! Nite mover ! Nakuonea gere wewe umelala ! Comments zako zinajiandika zenyewe !
Uje unifundishe huo utaalamu!
Hahahhaaaa mie usingizi umekata toka saa saba, madhara ya kulala maprma haya. Nimetoka job, nikala na kuoga saa moja nimepanda kitandani. Nimeshtuka saa sita-saba hivi mpaka sasa usingizi umegoma aaaarrrrgghhhhh Judgement
Ok mazee BT mda huu, ndo naacha kubofya !
Nipange mbavu! Sa10 now!