Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Salaam Wakuu,
Niliposikia huu wimbo wa Zuchu wa Mwambieni niliupenda sana ulinikumbusha Nyimbo za Saida Karoli. Nilipoona Challenges mbalimbali na mitindo ya uchezaji Instagram na Tik Tok nilijijengea kataswira fulani jinsi video yake itakuwa.
Video imetoka leo lakini sijapata nilichokitegemea, hata mitindo ya kucheza sijaiona zaidi ya kipande cha mwisho kabisa. Natamani airudie naona kama haijatendewa haki.
Binafsi naona video za Tik Tok Challenge ni nzuri kuliko official video