Basi nitampelekea taarifa asikuangushe.Nilitegemea kuwepo na uchezaji mwingi na mazingira ya kitamadunu. Naona kiasi kikubwa kaiweka kwa mfumo wa story
WCB walikosea sana kuachana na director wao Kenny
mwenye jipya kwako ni nani? Hivi WCB walikufanyia nini kwani?hanaga jipya