Baba Kapompo
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 1,344
- 468
Mgeni mie sina hadabu nabisha hodi wakati nshaingia tatizo wenyeji mmeacha mlango wazi.....ila sio kesi wenyej hamjambo me nshakuwa mwenyeji japo s sana ..hii linki ya utambulisho nilikuwa siingii thats y nikashindwa kuwasalimu ...but tupo pamoja kikubwa ni ushirikiano tuu.... am out