true willdad
Member
- Jul 22, 2021
- 16
- 18
Daah kuna situation moja imenitokea muda huu. Kuna demu fulani nilitaka nimtongoze hapa mtaani yaani jirani yetu anaitwa A ila huyu demu ana rafiki yake ambaye amezoeana na mimi anaitwa M.
Kwahiyo nilimtumia rafiki yake kuzoeana naye ili iwe rahisi kumtokea. Sasa katika harakati za kulivuta tunda, kuna demu mwingine anaitwa T naye nimezoeana naye alikuwa anaona mitikasi yangu kiasi akaniuliza unamfwatilia huyu demu, nikamtell ndiyo nataka nimkamate.
kitu kilichofanya nilete hii habari humu, wakati napanga nikatililike kwa huyo demu mara M kanipigia simu ananiambia umefanya nini, nikamuuliza kuna nini, akaniambia umemtuma T akamwambie A kuwa unapenda na hayo maneno kaambiwa na A mwenyewe.
Daah nilipata na mshituko nikamfwata T kumuuliza akaniambia ndiyo kamwambia ila kiutani. Sasa kinachonichanganya huyu T hapa mtaani anaonekana mcharuko hata M kashanitoa thamani na kaniambia hujaona mtu mwingine mpaka ukamwambie T akakutongozee. Yaani nilikuona fighter ila umeniangusha, pia huyu A sijui atakuwa kanichukuliaje.
Wakuu nipeni maelekezo hii ishu nitaisolve vipi ili niendelee na harakati za kumtongoza huyu demu, maana sitaki kumuacha hivi hivi.