Daah! Ila watu miyeyusho sana asee

Kuna watu wanachekesha sana asee
 
Tupac alieahi kuulizwa "What are you doing for a living?"

Akajibu "who told you I'm living?"
Juzi nipo kariakoo kuna jamaa akawa anamuomba mwanae flani simu ili apige kwa maana ya kwake haina vocha.

Jamaa: Oya Issa hebu niazime simu yako nipige hii namba muhimu sana yani halafu simu yangu haina vocha.

Issa: Kwahio unataka nikupe simu yangu upige bure bure tu yani.

Jamaa:Ndio simu yangu haina vocha tu leo ila nisingekusumbua.

Issa: We unahisi simu yangu itakuwa na vocha?

Jamaa: Haiwezi kosa.

Issa: Una uhakika na hilo?

Jamaa: Ndio

Issa: Basi kweli itakuwa nayo.

Jamaa: πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Jinsi Issa alivyokuwa anamuuliza maswali jamaa ni kama wako interview very seriously..nilicheka sana yani.
 
Mapenzi bhana halafu utakuta jamaa alikuwa anawaambia washikaji. Oeni ndoa tamu sana.
Kitu kizito chenye ncha kali kimemwangukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…