Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,033
- 10,622
Unajua dar asilimia kubwa wake kwa waume wadada kwa wakaka hadi watoto ni wambea wanapopularize mji ila hakuna kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weeee,upo serious kijana?maana naskia marekani huyo Beverly hills ni hatari,kwahiyo inawezekana sio kweli?[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]Ni kawaida hiyo Dunia nzima ni hivyo, unachokisikia siyo uhalisia, ukifika utashangaa!
Ha ha! Kipindi cha mvua wanafungulia chemba kwani we Dar ulijua kama New York city?Wakuu nashukuru Mungu nimefika Dar taangu juzi lakini Sifa tunazozisikaga ni Tofauti kabisa Leo nimeweza kukatiza mitaa ya Karikoo Nimeshangazwa na Majitaka/Mavi yalivyozagaa mitaani Jana nilitembea Baadhi ya Mitaa inasikitisha.
View attachment 493878View attachment 493879
Karibu Kwetu Apa Kaburi Moja Au Twende Kwa GODI??Tembelea na mbezi ya kimara basi achana na huko kwa waswahili
Pema usijapopema, ukipema si pema tena.Ni kawaida hiyo Dunia nzima ni hivyo, unachokisikia siyo uhalisia, ukifika utashangaa!
Mbona sijakuelewaaaaaaKaribu Kwetu Apa Kaburi Moja Au Twende Kwa GODI??
Wakuu nashukuru Mungu nimefika Dar taangu juzi lakini Sifa tunazozisikaga ni Tofauti kabisa Leo nimeweza kukatiza mitaa ya Karikoo Nimeshangazwa na Majitaka/Mavi yalivyozagaa mitaani Jana nilitembea Baadhi ya Mitaa inasikitisha.
Pema usijapopema, ukipema si pema tena.
Weeee,upo serious kijana?maana naskia marekani huyo Beverly hills ni hatari,kwahiyo inawezekana sio kweli?[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]
Hii picha nilitaka kubisha kwa kusema Dar gani hiyo ina open space kumbe ni jangwani hapoBro haiwezekani katika mkusanyiko wa watu zaidi ya mil 6 wote wakawa level ya juu. Kuna average joes na mafukara kabisa. Hii ni global trend, hapo Nairobi kuna maeneo kama Eastleigh na na Kibera slums, ukifika unaeza ukatoka machozi wanadamu wanaishi kama mende, lkn tunaambiwa Kenya ni 2nd world country.
Izunguke Dar ufike maeneo ya watu wa average kama salasala, uende maeneo ya wenye nazo huko kunduchi, ufike city centre nk. Hizi picha hapa chini zote ni Dar.![]()
Na hautaamini kuwa hapa ni Detroit, Marekani
Nimeipiga Wizara ya Maliasili na Utalii Pale utakua unapajua.Hii picha nilitaka kubisha kwa kusema Dar gani hiyo ina open space kumbe ni jangwani hapo