Ibrahim K. Chiki
JF-Expert Member
- Apr 5, 2011
- 594
- 163
Sasa kama wewe ni officer, unatafuta kazi gani tena?Wadau, mi ni mass communicator na public relation officer ambaye nimegraduate 2010 ....
Sasa kama wewe ni officer, unatafuta kazi gani tena?
mwantumu mahiza amesema vijana hata kama mmesoma msisubiri kazi za maofisini na akashauri muanzishe miradi ya kufuga kuku itawalipa sana.Wadau, mi ni mass communicator na public relation officer ambaye nimegraduate 2010 na nimeshatuma maombi ya kazi sehem kibao but sijawahi iitwa kwenye interview wala kupata feedback yoyote, ingawa kwa sasa am working as sales executive wa kampuni flani na kulipwa kwa commission.....kazi ambayo nimeipata kupitia kumjua mtu anaye mjua mtu. Naombeni msaaaada wadau....tena wa dhati.
Wadau, mi ni mass communicator na public relation officer ambaye nimegraduate 2010 na nimeshatuma maombi ya kazi sehem kibao but sijawahi iitwa kwenye interview wala kupata feedback yoyote, ingawa kwa sasa am working as sales executive wa kampuni flani na kulipwa kwa commission.....kazi ambayo nimeipata kupitia kumjua mtu anaye mjua mtu. Naombeni msaaaada wadau....tena wa dhati.
Usiofu kaka,najua inavunja moyo sana ila piga moyo konde.Mimi mwenyewe natafuta kazi kuanzia 2008 bila mafanikio.Mimi nina bachelor ya Elecrical engineering and Associate ya Nursing lakini mambo bado magumu na sijakata tamaa.

samahani mkuu associate ya Nursing ni nini hiyo?