Ungependa mtu awe nawe kwa sababu una pesa au mtu awe nawe kwa sababu ya upendo ?mke haondoi upweke
tafuta pesa
mabinti watakutafuta automatically,na utajichagulia mwenyewe wa kuoa
Vipi yule Bidada mwenye Pesa zake, ambaye naye anatafuta mume ?mke haondoi upweke
tafuta pesa
mabinti watakutafuta automatically,na utajichagulia mwenyewe wa kuoa
Pole broSina mengi ya kusema.
Sitaki kuwa selective maana upweke unaniua.
Kama we ni mwanamke, umri 20 - 27, dini yoyote, rangi yoyote basi njoo tuyajenge.
Mimi ni Muajiriwa.
Umri wangu ni miaka 28.
Naishi Dar es salaam.
Dini yangu mkristo.
Mweusi, mrefu kidogo 5.7 feet.
Njoo PM tuongee kama umeridhika na vigezo.
Girls kuweni serious kwenye hili, upweke unaniua aiseee!
Ningekuwa nimepata basi hili tangazo usingelionaWewe miaka yote hiyo unayotangaza tangazo bd tu hujapata mchumba?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohoo, usijali muombe Mungu utampataNingekuwa nimepata basi hili tangazo usingeliona