Daah uvumilivu umenishinda sasa natufuta mdada wa kuliwazana nae

Daah uvumilivu umenishinda sasa natufuta mdada wa kuliwazana nae

colin_morgan

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
2,443
Reaction score
2,912
Habar zenu wana

Kama kichwa cha habar hapo juu

Daah aisee hakuna kitu kigumu mno kama kuzuia hisia zako , yaan ukizoea kufanya mapenz halaf ukakosa kwa mda akili inakua haifanyi kazi yake vzur hadi pale tu itapopata kitu inataka


Sikuwahi kuwaza hata sku moja kama itafikia siku nitaandika uzi wa aina hii humu jf ila leo maji yamenifika shingoni

Mimi nipo kanda ya ziwa , km kuna mdada unahitaj faraja km mm na upo kanda ya ziwa basi nitakufata popote ulipo ndani ya kanda ya ziwa

Tutakuja kuspend pamoja na kula good time

Nipo tayar kupima afya kbla ya chochote kile

Pm yangu iko wazi madada wa kanda ya ziwa kazi ni kwenu

Sifa na muonekano wangu vyote utavipata pm

Ahsanteni
 
Kanda ya ziwa! Kwa hiyo sisi tuliopo Nanjilinji hatuna nafasi?? Ubaguzi haufai colin
 
Umri maana siku hizi watu wanaangilia umri kama kijana uwe na pesaa ila wahenga wnajulikana tu wanazoo ukipata usisahau kuleta mrejesho
 
Back
Top Bottom