Hmm!
Kwani minazi haistawi kolomije? Mbona hata michikichi inafanana matawi na minaziKolomije kuna minazi?
Kwani minazi haistawi kolomije? Mbona hata michikichi inafanana matawi na minazi.Kolomije kuna minazi?
Hahahaha we jamaa utachakaa kuwa makini
Hiyo sio shida ila hii picha inadhihirisha haya mazingira ni ya ukanda wa pwani mkuu,Kwani minazi haistawi kolomije? Mbona hata michikichi inafanana matawi na minazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo sio shida ila hii picha inadhihirisha haya mazingira ni ya ukanda wa pwani mkuu,
Bora umekazia mkuu maana nlishaanza kushikiwa bango hapa aiseePwani hiyo.
Mkuu wetu ni wa kitambo dar msimchukulie powa kiivyo.
Anastahiki kuwa pale
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu kifutu hawezi nifanya loloteSahivi akiamua anaweza kukufukuza Dar na mkeo akabaki naye
View attachment 1063211
Sent using Jamii Forums mobile app