Makonda ana kimavi, kasababisha mpaka wa Tz wengine wehu wanaomchukia kuiombea timu yetu balaa maana tungeshinda angetamba kuliko Ssmata
Au aende mbunge nongwa Nape akafunge goli la mkono.Arudi ili mechi ijayo aende Mwakyembe nae ajaribu bahati yake