komoakomesha
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 285
- 401
Jamani kuna siku tumepeane appointment na mtoto mzuri demu wa ukweli aliejazia haswaaaa, ni demu alienizungisha muda mlefu sasa siku hiyo akaniambia tuonane tupeane maraha ya dunia , mida ya kuonana ilikua saa 1 jioni, kwa furaha niliyonayo nikaone nistuke kidogo na dable Kiki ili nivute muda, nikapiga cha kwanza nikamaliza utamu ukakolea nikapiga Cha pili ,bwanawweee Ile kufika nyumbani Tena nakokotwa na watoto wa Jirani.
Nashukuru bila wale watoto ningepoteza simu na pesa, Ile kufika nilipolala hata mlango sijafunga nakuja kustuka asubui kesho yke, nakuta mised cals Kama 20 hivi na sms 15 ,demu akinilaumu sana kwa kumdanganya sijaenda ,nimejaribu kumbembeleza ataki Tena Hadi leo jamani, weeee dable Kiki una stim ya haraka Ila tutumie kimoja tu Tena tuwe tumekula