Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
AaahaaaaDabo hakuna kocha pale,ni ile signa tuu ndio inamuweka pale mpaka sasa.
Hivi kocha mkuu ni Dabo au yule mzungu?Azam wana timu nzuri lkn hawana uwezo wa kuitoa APR mashindano, issue sio kocha ishu iko katika menejimenti.
Nna uhakika this time Dabo anakwenda na maji.
Kama akiondolewa na APR and this is no doubt APR wana timu nzuri na wataiondoa Azam mashindanoni bila shaka yoyote.
Mark my words
Kwel wenye akili watatu tu utopolonDabo hakuna kocha pale,ni ile signa tuu ndio inamuweka pale mpaka sasa.