Baba Kapompo
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 1,344
- 468
Jamani nina umri usiopungua miaka 25 ila kwakuwa sijielewielewi (kunadalili tofauti za magonjwa ya zinaa katika mwili wangu kwa mda mrefu) na niliwahi kujaribu kupima magonjwa matatu tu nikaambiwa sina tatizo lolote lakini mimi najihisi ninatatizo.Naomba mnitajie ni dactari/hospital gani bingwa nitakayoweza kupima magonjwaa yoote ya zinaa(yaani zinaa check-up ..lol!) naishi ubungo then mnishauri nijipange kwa shilingi ngapi ili niweze kufanyiwa check up hiyo..
Nawasilisha
Nawasilisha