Dada aliyeacha usister tumekuja kufuatilia kumbe alifukuzwa kutokana na vurugu zake na eti anataka kubadilisha dini aolewe na muislamu

Dada aliyeacha usister tumekuja kufuatilia kumbe alifukuzwa kutokana na vurugu zake na eti anataka kubadilisha dini aolewe na muislamu

Makonde plateu

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,443
Reaction score
3,480
Wakuu jana nilileta story kuhusu dada yetu aliyerudi nyumba baada ya kuacha utawa leo tulienda parokiani baada ya kuitwa na parokia na mama mkubwa wa shirika lao la usister aisee kumbe dada alianza vurugu kitambo sana za kutaka kuacha usister ila parokia walikuwa wanamsihi kwa sababu walimsomesha na walikuwa wabamtegemea na kanisa na baada kuona wamemshindwa wakaamua kumfukuza

Na pia inaonekana dada yetu alifumwa na meseji kwenye simu yake na mama mkubwa wa parokia akichati na jamaa ambae alikuwa anamshawishi aache wito wa utawa na tumemuambia huyo jamaa amlete kama kuna mahari atoe ila mimi na mzee wangu tumepanga huyo jamaa akija tumkomeshe adabu na ikiwezekana tumpele polisi haiwezekani amuharibie dada yetu maisha ya utawa na kesho tunampeleke hospital kwa ajili ya kucheki mimba

Na kubwa kabisa ambalo limetuacha hoi eti anataka kubadilisha dini ili aolewe na muislamu kumuuliza sababu eti uislamu ni dini ya haki na dini ya ukweli jamani daaa! ?????????
 
Picha yake iko wapi?
 
Watu wametoa bikra tayari ..............yaani mkongojo umepita mpaka kwenye linter ..........hapo aambiwi wala hasikiii kitu..........mpaka mimba azae ndio atatulia
 
Toka jana wakati unaanza kutupiga kamba nikashituka kuwa wewe ni lazima utakuwa kobazi leo umekuja kujidhihilisha kabisa

Ndo uzuri wa MUNGU huwa hachelewi kuwaumbua wapuuz kama wewe

Endelea kuvaa kobaz
 
Wewe umekuwa Leo? Masister wa kanisa katoliki wengi wanakuwa na mabwana wa kislama
 
Nyie mtakuwa mmepagawa na mapepo!,yaani mtu mzima mwenye maamuzi yake nyie mmvalie njuga?,Mko timamu kweli nyie?

Kwani huo Utawa alikuwa akiwasomea nyie au Kwa ajili ya nafasi yake na Mungu?,baada ya kuuacha Utawa wewe kama kaka mtu imekuathiri vipi kiroho na Mungu wako?

Kubadili dini ni nafsi yake imemtuma kufanya hivyo,na hata akipotea dhambini atapotea yeye na nafasi yake,mwacheni kwakuwa kila mtu kapewa uhuru wa kuchagua,hivyo yeye kachagua njia anayoona inafaa!

Jambo la Msingi mkiwa kama ndugu mshaurini lakini mkiona kaukataa ushauri wenu achaneni naye !
 
Dogo Embu Jitahidi Kupevuka Kiakili Mambo Ya Familia Yenu Unayaleta Mitandaoni ili Itusaidie Nini??Tumeshafahamu Una Dada Basi Tulia Endelea Na Mambo Mengine
 
Poleni, naona Wewe na baba yako dada amewapa ubaya ubwela mpaka mmechanganyikiwa.
 
Wakuu jana nilileta story kuhusu dada yetu aliyerudi nyumba baada ya kuacha utawa leo tulienda parokiani baada ya kuitwa na parokia na mama mkubwa wa shirika lao la usister aisee kumbe dada alianza vurugu kitambo sana za kutaka kuacha usister ila parokia walikuwa wanamsihi kwa sababu walimsomesha na walikuwa wabamtegemea na kanisa na baada kuona wamemshindwa wakaamua kumfukuza

Na pia inaonekana dada yetu alifumwa na meseji kwenye simu yake na mama mkubwa wa parokia akichati na jamaa ambae alikuwa anamshawishi aache wito wa utawa na tumemuambia huyo jamaa amlete kama kuna mahari atoe ila mimi na mzee wangu tumepanga huyo jamaa akija tumkomeshe adabu na ikiwezekana tumpele polisi haiwezekani amuharibie dada yetu maisha ya utawa na kesho tunampeleke hospital kwa ajili ya kucheki mimba

Na kubwa kabisa ambalo limetuacha hoi eti anataka kubadilisha dini ili aolewe na muislamu kumuuliza sababu eti uislamu ni dini ya haki na dini ya ukweli jamani daaa! ?????????
Aaaaaaaaaaah. Nimecheka kama mazuri vile kumbe hajui kuwa Alah za mziki = sheta.
 
Back
Top Bottom