Dada anatafuta mchumba msaidieni

Dada anatafuta mchumba msaidieni

Vumbi

Senior Member
Joined
Nov 7, 2010
Posts
191
Reaction score
27
Hii nimeitoa Michuzi blog, kwa wale vijana mnao tafuta wachumba kazi kwenu

"Habari kaka Michuzi,
Naomba unirushie tangazo langu Hili. Mimi ni msichana natafuta Rafiki ambaye yupo serious kwaajili ya long term relationship na Mungu akijalia tufike mpaka kwenye ndoa. Pia awe tayari kupima ukimwi na mwenye umri kuanzia miaka 32 - 36

Aliya tayari naomba aniandikie kwenye email address:
jagatha93@yahoo.com

PS: Tafadhali naomba SANA wanaume wenye
mapozi wasisumbuke kuniandik"
 
:A S 13: asante kwa msaada wako wa kuitoa kule kuleta hapa....ubarikiwe!
 
Hii nimeitoa Michuzi blog, kwa wale vijana mnao tafuta wachumba kazi kwenu

"Habari kaka Michuzi,
Naomba unirushie tangazo langu Hili. Mimi ni msichana natafuta Rafiki ambaye yupo serious kwaajili ya long term relationship na Mungu akijalia tufike mpaka kwenye ndoa. Pia awe tayari kupima ukimwi na mwenye umri kuanzia miaka 32 - 36

Aliya tayari naomba aniandikie kwenye email address:
jagatha93@yahoo.com

PS: Tafadhali naomba SANA wanaume wenye
mapozi wasisumbuke kuniandik"

Ningekuwa mwanaume hili sharti lingenishinda
 
Mwambie kwenye mahusiano pia UKIMWI upo, hata kama ulipima kabla!

Halafu mshauri pia kwenye ndoa kuna MAPOZI zaidi ya anavyofikiri!
 
Hii nimeitoa Michuzi blog, kwa wale vijana mnao tafuta wachumba kazi kwenu

"Habari kaka Michuzi,
Naomba unirushie tangazo langu Hili. Mimi ni msichana natafuta Rafiki ambaye yupo serious kwaajili ya long term relationship na Mungu akijalia tufike mpaka kwenye ndoa. Pia awe tayari kupima ukimwi na mwenye umri kuanzia miaka 32 - 36

Aliya tayari naomba aniandikie kwenye email address:
jagatha93@yahoo.com

PS: Tafadhali naomba SANA wanaume wenye
mapozi wasisumbuke kuniandik"

Huyu atakuwa kimeo amedoda
 
Mmmh! huyu nungaembe. Kibaya chajitembeza. Wanaume adimu weweee! Mbona hujatoa sifa zako?:hand: baaaai.
 
Hii nimeitoa Michuzi blog, kwa wale vijana mnao tafuta wachumba kazi kwenu

"Habari kaka Michuzi,
Naomba unirushie tangazo langu Hili. Mimi ni msichana natafuta Rafiki ambaye yupo serious kwaajili ya long term relationship na Mungu akijalia tufike mpaka kwenye ndoa. Pia awe tayari kupima ukimwi na mwenye umri kuanzia miaka 32 - 36

Aliya tayari naomba aniandikie kwenye email address:
jagatha93@yahoo.com

PS: Tafadhali naomba SANA wanaume wenye
mapozi wasisumbuke kuniandik"

Leta picha yako Jagatha!
 
1. TUaptie Picha Yako
2. Wasifu wako
3. Maisha yako kwa ujumla
4. Unakaa wapi
5. Unafanya nini?
6. Ulisha wahi kuolewa au kuoa?
Nk

Vinginevyo tutakuhisi Nunga nyembe!
 
Ni wewe vumbi? mapoz ndio yanakuwaje mpz
 
kila la kheri mwaya...
wengine wanaoponda hapa hadharani nadhani ndio watakaoukuandikia kwenye email.............mapozi tuuuu,wapotezee :rain:
 
Back
Top Bottom