Columbus R
New Member
- Sep 30, 2016
- 1
- 1
WivuNilitaka kushangaa habari kuhusu yeye haijafika huku hadi leo.
Hawa ndio wanaume zetu [emoji17]
Uoga wako ndo umaskini wakoMke wa mtu sumu, mbona unaomba # bila kuuliza nani anamiliki? Ohoooooo ntakutoa kibusha
Leo ndio na mm nimemkodolea,kiwango kweli aiseekuna siku nulimuotea alikua ana mhug sam daah kamera ikammulika mgongo aisee ni balaa kubwa lile dooh wanaume tuna shida braza hawa dada zetu mitihani...
mkuu umewahi kula mzigo nn?Center hovyo ni nje tu..
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji20] [emoji20]
Nilitaka kushangaa habari kuhusu yeye haijafika huku hadi leo.
Hawa ndio wanaume zetu [emoji17]
wa mikoani bana...mtuajicjie wazee wa jiji...Kaka kama ukipata mda jaribu kunitafutia namba za uyo manzi aisee coz nipo uku mkoani asa kuonana nae inakuwa ngumu
Hajui kutangaza
+974 33696823 haya ushindwe mwenyewe kabulaza ...Kaka kama ukipata mda jaribu kunitafutia namba za uyo manzi aisee coz nipo uku mkoani asa kuonana nae inakuwa ngumu
Mwenyewe namuelewa sana yule mtoto mzur
Haswaa....naomba mammy na sinyorita warudi ea radioUtangazaji FM Radios na TVs za vijana ni sawa na Bongo movie, sura inakupa kazi mkuu.
Nawamiss sana Mami Barbie na DJ Sinyorita EA Radio kipindi cha jioni.
Sema mamy ana domo uyo dadaHaswaa....naomba mammy na sinyorita warudi ea radio