Dada FaizaFoxy: Kikao cha Bunge Kinaisha lini?


Hivi huwajui mpaka leo au unajifanya hayawani?
 
Utawajuwa tu, pitia pitia JF ujikumbushe.

Ahyaa Dada FaizaFoxy naushukuru wakati kwa kuwa hakimu msema kweli na mtoa haki. Nadhani kwa kauli hiyo wamaanisha mjadala umefungwa kiungwana. Au siyo?
 
Last edited by a moderator:
Ahyaa Dada FaizaFoxy naushukuru wakati kwa kuwa hakimu msema kweli na mtoa haki. Nadhani kwa kauli hiyo wamaanisha mjadala umefungwa kiungwana. Au siyo?

Nawashangaa sana ikiwa ni wasahaulifu wa ghafla, ni wangapi wameshatimuliwa Arusha toka nilete hiyo mada, ni wangapi wameshatimuliwa Makao Makuu yenu, Kinondoni?

Leo unajifanya huyajui! Wallahi unanchekesha, sana tena.

Tuliyaona yakija kabla ya wewe kufikiria.
 
Viongozi wawili wa CHADEMA, maarufu na wenye hadhi, ama wataachia ngazi wenyewe na kujiunga chama kingine ama watavuliwa madaraka kabla ya kuwachia wenyewe.Source: FaizaFoxy
Fatilia nyayo zangu humu JF utauona, mwingi tu. Anza.
Aahaa kumbeee! Kama ndo hao basi ni kweli FaizaFoxy ulisema......madiwani watano (5) wa Arusha waliotimuliwa, Mtela Mwampamba na Juliana Shonza ndiyo "viongozi wawili maarufu na wenye hadhi"
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…