Dada hata ukinidanganya.... nikiangalia ulivyovaa nakushtukia

wewe utadanganyika wewe ..watu wapo kwenye hijabu ...full time wametoa hadi vodacom....mimi the way navovaa simaanishi chochote..
navaa kutokana na event na kupendeza ..si unajua mwanamke mvuto?....ukinikuta church .na ofsini tofauti au ukutane na mimi usiku tofauti kabisa..
kuwa makini itakula kwako mkuu
 
sisi tunaotazama miguu ya bia tutawashtukiaje??
 

Sometimes kudanganywa nako poa... au umesahau ule mziki wa kwenye daladala... nidanganye x 3 tuuuuuu...
Hata hivyo Smile, ni rahisi sana mimi kutofautisha mwanamke aliyeolewa na asiyeolewa kwa mavazi... sidhani kama nitadanganywa...
 

umemaliza kila kitu, thread closed.....
 
Mh hapa mie iko mashaka,kuna m-mama fulani huwa unavaa kiadabu zote na pete ya ndoa juu,nilipewa story yake sikuamini kaka,yaani magauni yake kama ya huyo wa HAPPILY MARRIED,anongea utafikiri anafugwa getini ila ni balaa,yeye aanondoa wote vijana wasiioa mpaka waume za watu.
 
pretty misleading...it is so difficult to tell the difference these days
 
Reactions: Taz

Ningependa kuiona hiyo Smile yako siku moja! LOL
 
Last edited by a moderator:
That indicates nothing. Na muunga mkono smile.
 
mmmh, am on a 'one night stand' relatioship
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…