Hongera kwa uzalendoRosemary Kweka
1tSpons5faohrendfg ·
Nikiwa kama Mgeni rasmi wa Mahafali ya 10 Shule ya Sekondari Kiloleli October 31/2020. Ni heshima ambayo inakuja na majukumu.
[emoji136]Unaambiwa mafanikio na changamoto za shule. Na hutoi tu ahadi kama wanasiasa, unatakiwa kuzitatua hizo changamoto.
[emoji136]Nashukuruni kwa heshima na nilifanya wajibu wangu. Nilichangia Meza ya Ofisi na Kabati la vitabu kwaajili ya mkuu wa shule vyenye thamani ya 1.2mil kama Mkurugenzi Mtendaji wa Furniture Designer
[emoji136]Marafiki wa faida walionisindikiza ikiwemo Maheshi Dhondri- Rais wa Lions Club International- Mwanza (kushoto kwangu), Mrs. Chegeni- Mkurugenzi Mtendaji wa Isamilo Lodge- Mwanza, Mrs. Zongii -Mkurugenzi Mtendaji wa Zongii Molders na dada yangu kipenzi Beatrice Samson Ngwalida walinisaidia kusapoti meza 5 za walimu na kuendelea kuichangia shule ktt changamoto mbalimbali zinazoikabili.
[emoji136]Asanteni sana Desk and Chair Foundation kwa kusapoti ujenzi wa vyoo vya walimu na wanafunzi. Vyoo 10 vya kike, 10 vya kiume na 5 vya walimu.
[emoji136]Unapokuwa na mapenzi ya dhati na nchi yako na unajua unao wajibu kama mwananchi (si lazima uwe mwanasiasa). Unajitoa kwa hali na mali kuisapoti jamii yako.
[emoji136]Mafanikio ya watoto wote ni faida kwa jamii nzima. Wakiwa wazuri tutanufaika wote, tukiwaacha waangamie au wakose elimu bora tutakuja kuumia wote. Tutekeleze wajibu wetu kwa pamoja.
[emoji137][emoji137][emoji137][emoji137]TUSHIRIKIANE KUIJENGA NCHI YETU NA JAMII YETU KWA HALI NA MALI. TUWEKE KIPAUMBELE CHA KUWAINUA WATOTO WOTE.
[emoji136]MIMI NI SHUHUDA, WALIONIPA MSAADA WA KUSOMA SIO NDUGU ZANGU WALA SINA UKOO NAO. ILA WALIJUA MANUFAA YAKE NI KWANGU, NDUGU, JAMAA NA TAIFA LANGU KWA UJUMLA.
4040
11 C
💁Unapokuwa na mapenzi ya dhati na nchi yako na unajua unao wajibu kama mwananchi (si lazima uwe mwanasiasa). Unajitoa kwa hali na mali kuisapoti jamii yako.
💁Mafanikio ya watoto wote ni faida kwa jamii nzima. Wakiwa wazuri tutanufaika wote, tukiwaacha waangamie au wakose elimu bora tutakuja kuumia wote. Tutekeleze wajibu wetu kwa pamoja.
Kama hautaki majibu usije kupostHivi ukisoma tu haitoshi lazima ujibu?
Ndo umekuja kututangaza huku kwamba umetusaidia ! KhaaRosemary Kweka

Hata mimi nilimjibu hivyohivyo kama ametenda wema asubiri wamtangaze ila kujitangaza kunaleta hisia msaada huo ulikuwa na ajenda iliyojifichaNdo umekuja kututangaza huku kwamba umetusaidia ! Khaa
Rosemary Kweka
1tSpons5faohrendfg ·
Nikiwa kama Mgeni rasmi wa Mahafali ya 10 Shule ya Sekondari Kiloleli October 31/2020. Ni heshima ambayo inakuja na majukumu.
💁Unaambiwa mafanikio na changamoto za shule. Na hutoi tu ahadi kama wanasiasa, unatakiwa kuzitatua hizo changamoto.
💁Nashukuruni kwa heshima na nilifanya wajibu wangu. Nilichangia Meza ya Ofisi na Kabati la vitabu kwaajili ya mkuu wa shule vyenye thamani ya 1.2mil kama Mkurugenzi Mtendaji wa Furniture Designer
💁Marafiki wa faida walionisindikiza ikiwemo Maheshi Dhondri- Rais wa Lions Club International- Mwanza (kushoto kwangu), Mrs. Chegeni- Mkurugenzi Mtendaji wa Isamilo Lodge- Mwanza, Mrs. Zongii -Mkurugenzi Mtendaji wa Zongii Molders na dada yangu kipenzi Beatrice Samson Ngwalida walinisaidia kusapoti meza 5 za walimu na kuendelea kuichangia shule ktt changamoto mbalimbali zinazoikabili.
💁Asanteni sana Desk and Chair Foundation kwa kusapoti ujenzi wa vyoo vya walimu na wanafunzi. Vyoo 10 vya kike, 10 vya kiume na 5 vya walimu.
💁Unapokuwa na mapenzi ya dhati na nchi yako na unajua unao wajibu kama mwananchi (si lazima uwe mwanasiasa). Unajitoa kwa hali na mali kuisapoti jamii yako.
💁Mafanikio ya watoto wote ni faida kwa jamii nzima. Wakiwa wazuri tutanufaika wote, tukiwaacha waangamie au wakose elimu bora tutakuja kuumia wote. Tutekeleze wajibu wetu kwa pamoja.
🙋🙋🙋🙋TUSHIRIKIANE KUIJENGA NCHI YETU NA JAMII YETU KWA HALI NA MALI. TUWEKE KIPAUMBELE CHA KUWAINUA WATOTO WOTE.
💁MIMI NI SHUHUDA, WALIONIPA MSAADA WA KUSOMA SIO NDUGU ZANGU WALA SINA UKOO NAO. ILA WALIJUA MANUFAA YAKE NI KWANGU, NDUGU, JAMAA NA TAIFA LANGU KWA UJUMLA.
4040
Natumai walengwa wamekuskia mkuu asante