Kapotea?
Ana tatzo lolote la kiakili?
Aliacha ugomvi nyumbani?
Mnahisi katekwa? Kwa nini?
Ninayo Mkuu ila sina picha aliyepiga mwenyewe, ndo maana nili-delete sehemu yenye face/s ya watu wengine na kuweka yakwake mwenyewe mkuu...Una full picture yke
Ova
Mkuu mtu kupotea tusihangaike????Huyo hajapotea, msihangaike !!! Nasema msihangaike, siku atakapojisikia kurudi atarudi tu
Unataka kuona nini huko chini mkuu?Una full picture yke
Ova
Asante mkuu, naomba nikujibu ifuatavyo;
Kapotea? Ndio Kapotea
Ana tatzo lolote la kiakili? Hapana, ILA siku moja kabla yakupotea alimwambia mumewe kwamba akimwona anahisi kumchukia bila sababu!!!!!
Aliacha ugomvi nyumbani? Hakuna ugomvi wowote
Mnahisi katekwa? Hatujui mkuu Kwa nini? Hatujui
Asante Mkuu, anaitwa Hilda Emanuel na Mumewe anaitwa Oscar Didas Kwai.
Acha masihara mkuu, tupo siriasi na hili swala.....Atarudii;kwa mro mboo ni shida
Atakuwa alikaribishwa ndafu na baharia kisha tabasam LA bashasha...ongezea hapo na dompo 2
na ukizingatia alishamchukia mumewe,akaona kampata mbwana
Rich acha mizengwe, hizo vurugu peleka kwenye majukwaa ya siasa, maana una nguvu sana ya kudadisi, watu wamepotelewa ndugu yao wewe unaleta mapambano, please.Kama mmelileta hapa basi jua kulijadili ni haki.Na tukitumia weledi tutajua mengi.Na inawezekana kuna watu watachukuliwa hatua
Asante sana kwa kuelewa machungu tunayopitia mkuu.....Rich acha mizengwe, hizo vurugu peleka kwenye majukwaa ya siasa, maana una nguvu sana ya kudadisi, watu wamepotelewa ndugu yao wewe unaleta mapambano, please.
Mkuu kama huna lakuchangia ni bora ungelikaa kimya.......Kama nimemuona kwenye isidingo hivi!!!!!
Huyo ni wakike,,, Kuna pahala yupoMkuu mtu kupotea tusihangaike????
Asante Mkuu....Polen atapatikan kama ni arusha hyo hyo tu
Mumewe kasema hakuna ugomvi baina yao mkuu, ILA: Siku moja kabla ya yeye kupotea, alimwambia mumewe anachukia kila anapomwona na hajui kwa nini.....!Kama ameolewa huyu dada na hana matatizo ya akili huyu yupo salama kama hajafungiwa na mwingine ni bahat sana kama walikuwa na ugomvi muulizen mumewe
Jawabu lipo hapo kwenye "anamchukia bila sababu" ni dhahiri kuna anaempenda bila sababu ndio kaenda
Asante mkuu, naomba nikujibu ifuatavyo;
Kapotea? Ndio Kapotea
Ana tatzo lolote la kiakili? Hapana, ILA siku moja kabla yakupotea alimwambia mumewe kwamba akimwona anahisi kumchukia bila sababu!!!!!
Aliacha ugomvi nyumbani? Hakuna ugomvi wowote
Mnahisi katekwa? Hatujui mkuu Kwa nini? Hatujui
Sijui Mkuu, ila hili jambo kwa sasa lipo polisi, dada mwenyewe kaacha mtoto mdogo wa miaka 2....!Jawabu lipo hapo kwenye "anamchukia bila sababu" ni dhahiri kuna anaempenda bila sababu ndio kaenda
Mumewe kasema hakuna ugomvi baina yao mkuu, ILA: Siku moja kabla ya yeye kupotea, alimwambia mumewe anachukia kila anapomwona na hajui kwa nini.....!