Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 8,069
- 15,029
Mkuu kwanza niwape pole kwa kadhia hii na ni vyema mmetoa taarifa polisi kuondokana na sintofahamu zaidi.Asante mkuu, naomba nikujibu ifuatavyo;
Kapotea? Ndio Kapotea
Ana tatzo lolote la kiakili? Hapana, ILA siku moja kabla yakupotea alimwambia mumewe kwamba akimwona anahisi kumchukia bila sababu!!!!!
Aliacha ugomvi nyumbani? Hakuna ugomvi wowote
Mnahisi katekwa? Hatujui mkuu Kwa nini? Hatujui
Asante sana Mkuu, ndo hivyo tunaendelea kumtafuta mkuu..., thanks again.Mkuu kwanza niwape pole kwa kadhia hii na ni vyema mmetoa taarifa polisi kuondokana na sintofahamu zaidi.
Kwa intelijensia ya haraka huyo dada ametoroka nyumbani n kwenda kujificha. Muhimu ni kuendelea kumtafuta asije kujidhuru au kudhuriwa zaidi...
Poleni
Rich acha mizengwe, hizo vurugu peleka kwenye majukwaa ya siasa, maana una nguvu sana ya kudadisi, watu wamepotelewa ndugu yao wewe unaleta mapambano, please.
Kuna kitu kibaya mumewe kamfanyia au alitaka kumfanyia, mambo yale ya biriani just speculation
Asante mkuu, naomba nikujibu ifuatavyo;
Kapotea? Ndio Kapotea
Ana tatzo lolote la kiakili? Hapana, ILA siku moja kabla yakupotea alimwambia mumewe kwamba akimwona anahisi kumchukia bila sababu!!!!!
Aliacha ugomvi nyumbani? Hakuna ugomvi wowote
Mnahisi katekwa? Hatujui mkuu Kwa nini? Hatujui
No comment Mkuu,.....Kuna kitu kibaya mumewe kamfanyia au alitaka kumfanyia, mambo yale ya biriani just speculation
Ndio Mkuu, tena wa miaka 2!Huyu inaonyesha kawaachia kichanga kabisa
hivi michezo...ya kuputea bado...ipo...?(Ipo mkuu ndio maana tumeliripoti) nahisi kuna kitu itakuwa mmemfanya (mumewe kasema hakuna mkuu, ila siku moja kabla yakupotea alimwambia mumewe huwa akimwona anahisi kumchukia bila sababu!!) ndio maana ametafuta nusra...huyo yupo kwa hawala wake (no comment mkuu..)...tu!hivi michezo...ya kuputea bado...ipo...? nahisi kuna kitu itakuwa mmemfanya ndio maana ametafuta nusra...huyo yupo kwa hawala wake...tu!
una miaka mingapi...?hivi michezo...ya kuputea bado...ipo...?(Ipo mkuu ndio maana tumeliripoti) nahisi kuna kitu itakuwa mmemfanya (mumewe kasema hakuna mkuu, ila siku moja kabla yakupotea alimwambia mumewe huwa akimwona anahisi kumchukia bila sababu!!) ndio maana ametafuta nusra...huyo yupo kwa hawala wake (no comment mkuu..)...tu!
Mm poleni kwani mkichunguza shida ilikuwa nini au mume ndie chanzoNdio Mkuu, tena wa miaka 2!
Hatujui Mkuu, tunamtafuta, akipatikana hayo mengine tutaya-sort baadae....Mm poleni kwani mkichunguza shida ilikuwa nini au mume ndie chanzo
Ok poleni sanaHatujui Mkuu, tunamtafuta, akipatikana hayo mengine tutaya-sort baadae....
Hapana Mkuu, alikuwa mama wa nyumbani tu...Alikuwa na wadhifa wowote kwenye upinzani kama cuf, chadema au act maana anaweza akawa ame Saananewa.