Dada Huyu Kapotea na Anatafutwa (Arusha)

Mtu mzima anapoteaje?
Kuna sababu Lukuki.., ila mojawapo inaweza kuwa amachanganyikiwa au kapatwa na majanga kwa lolote lililotokea ni vema ndugu wakajua, na kutoa taarifa na kuomba msaada ndio njia pekee ya ndugu kutimiza wajibu wao
 
Ujaleta mrejesho vipi kapatikana?
 
Atarudii;kwa mro mboo ni shida

Atakuwa alikaribishwa ndafu na baharia kisha tabasam LA bashasha...ongezea hapo na dompo 2

na ukizingatia alishamchukia mumewe,akaona kampata mbwana

🤣🤣🤣🤣🤣 ila ile nyama ya pale ni kwere.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…