Dada huyu wa ITV (Magreth Cosmas) mwenzenu basi tu jamani

kiukweli mi namzimika RECHO wa THT...Sijui NIFANYEJE COZ TABIA ZA WASANII? SIKU MBILI TATU NIMEKUA HEADLINES KWA SHIGONGO.
 
Huyu dada jamani simtaji ila huwa namuona karibu kila siku ya Alhamisi katika kile kipindi,kwakweli anavutia sana.

Nimalizie kwa kusema tu,nawe camera man kwa kummulika tu huyu dada haujambo!

Itakuwa Malumbano ya Hoja tu
Kweli sikulaumu kiongozi
 
hapa ulikuwa ujaribu kumuelezea NANI
-IVONA?
-RAYMOND
-SAUT
-MAKAMU MKUU WA CHUO
-WENJE
-WAARABU
-TIMU ANAYOSHABIKIA(NANI)
-CHADEMA
-CCM
-HOSTEL
nk mweeeeee!
 
hapa ulikuwa ujaribu kumuelezea NANI
-IVONA?
-RAYMOND
-SAUT
-MAKAMU MKUU WA CHUO
-WENJE
-WAARABU
-TIMU ANAYOSHABIKIA(NANI)
-CHADEMA
-CCM
-HOSTEL
nk mweeeeee!

Oyaa Wiki hii Sitaki Kabisaaaaa Shobo na Mtu Sawa? Hujalazimishwa Kusoma Nilichokiandika na Una Hiari tu Ya Kupita Sawa? Unaweza Ukawashobokea Wengine na Usisumbuke na GENTAMYCINE Kwani bado Nina Machungu Yangu Kukalishwa na WAJEDA Hivyo Sitaki Mihasira Yangu Niimalizie Kwako. Nadhani Tumeelewana ila Kama Wewe ni Mhaya au Muha au Mnyiramba au Mrangi basi Nakuruhusu Uendelee Kunicharura, Kunitania na Kunipiga Madongo Kadri Utakavyo na Wala Sitahamaki Kwani Ndiyo Raha Ya Utani ILA Kama Hutoki ktk Makabila Hayo Tafadhali Endelea tu na Ratiba Zako.
 

ahahahhahahhahhahahhahahahaaaha hapo ni nyuma ya keyboard!
 
Mbona wa kawada sana yule, kunako 6x6 ni sifuri nukta sifuri!!! Natania!!! Sizitaki mbichi hizi, alijesemea sungura baada ya kurukia mkungu wa ndizi umeiva bila mafanikio!!!
 
Yani huyo binti ndiyo kakuvutia?duh kweli tunatofautiana na kila mtu ana level zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…