Dada huyu yalimkuta huko

Dada huyu yalimkuta huko

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
304
Reaction score
1,054
DADA HUYU YAMEMKUTA😂😂😂

Tukumbushie kidogo miaka ya nyuma. Mwanamke mmoja nchini nigeria alilalamika mtandaoni baaada ya kutembea zaidi ya km 250 kumfata mwanaume aliyekuwa anachart nae mtandaoni

Lakini alichoka baada ya kujua aliyemfata ni kijana mwenye umri wa miaka 15 😂😂😂
1730041948173.jpg
 
Huyu mwanamke alikuwa na bahati sana kumpata dogodogo (kiben 10) cha miaka 15.
 
Back
Top Bottom