Dada huyu yalimkuta huko

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
304
Reaction score
1,054
DADA HUYU YAMEMKUTAπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Tukumbushie kidogo miaka ya nyuma. Mwanamke mmoja nchini nigeria alilalamika mtandaoni baaada ya kutembea zaidi ya km 250 kumfata mwanaume aliyekuwa anachart nae mtandaoni

Lakini alichoka baada ya kujua aliyemfata ni kijana mwenye umri wa miaka 15 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
 
Sa ikawajeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€·πŸ½β€β™‚οΈ
 
Kasongo yeyee..mombali nangaa,, kasongo mbona wewooh,,songali nangaa,,wo- yeyee,, yeyeeh,,kasongo mbona weweeeh,,mbona wewoooooh!!?? Songali nangaa..
Huu wimbo huwa nausikia ukiimbwa pale mnyama ngiri akiwa anakimbia/kimbizwa na simba Nyamwi255 bhanaπŸ˜‚
 
Huyu mwanamke alikuwa na bahati sana kumpata dogodogo (kiben 10) cha miaka 15.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…