Dada, jipime... Unathaminiwa na uliye naye?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
1. Je anaona fahari kukutambulisha kwa ndugu rafiki na jamaa zake kuwa wewe ni mtu wake? Au huwa anakaa kimya tu?
Kama hutambulishwi jua wee ni kama door mat.

2. Je anaona fahari kuongozana na wewe? Kama anakwepa kuongozana na wewe jijue kabisaaaa kwake huna thamani.

3. Je huwa anakusifia? Kama hakusifii jijue kuwa humfurahishi, ongeza bidii.
4.
5.
Endelea kuongeza ili kulinda heshima na thamani ya dada zemu kwenye mahusiano.
 
Good one Bujibuji

Kujipima ni muhimu sana
 
Tueleze mana wengi we2 huwa 2naishia kupoteza mda kwa wapenzi ambao hawa2pend kwa dhati, kwa njia hii 2tajitambua kua hapa kuna mapenzi au hakuna maana huu ni ukweli kabisa usemao
 
Bujibuji ni maandalizi ya weekend au imekuwaje
 
Haya makubwa sasa, lakini Nakubaliana na wewe kidogo sana
Mimi nadhani hivyo ni vigezo vilivyoelemea upande mmoja sana
(kukutambulisha ok, kuongozana, kujisifia)
wanaume tupo tofauti na mazingira yetu tofauti pia,
Nadhani kama anakupenda
atakujali,
atakuheshimu
atakulinda
atakutetea
atakuamini n.k n.k
 
We angalia mengine, yanatimizwa? Is he there for you when you need him?
<br />
<br />
na hili unakuta jibu ni hapana, halafu unaendelea kung'ang'ania..... Kudadeki utauumiza moyo wako kwa mikono yako mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…