Dada kwenye hili utavumilia????

Mtama

Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
63
Reaction score
0
Wewe ni dada mkali una umbo la ukweli halafu una shoga yako nae mkali lakini hakuzidi wewe,huyo shoga yako ana boyfriend handsome mwenye vigezo ambavyo unatamani umpate boyfriend wa namna hiyo,kinachokuumiza ni yule shoga yako anamletea mapozi huyo jamaa kiasi kwamba anakuletea malalamiko wewe kuwa umshauri shoga yako apunguze mapozi,Je utafanya nini kama ni wewe wakati unammezea mate????
 
Hapo UCHAKACHUAJI utatumia nafasi yake. Kama ww hutaki wape wenziao wale.
 
Mbona imekaa kizushi hii, usijemwibia shoga yako wewe .......... tuliza ball tafuta wakwako ....dodomizi sio mchezo tutakwisha
 
kwani kuwa demu mkali ndo kupedwa na Handsome boy???? waweza kuwa mzuri na ukaolewa na normal guy its so good kwanza,
kwa ushauri kama ni mimi nitamwambia shost punguza pozi otherwise mjamaa atachoka akupuge chini coz he tells me blablablaaaa abc.....zote nampa kwishner........hapo.
NOTE: MWANAUME HASIFIWI SURA....:nono:
 
Oooppss!!!!! Kumbe ni kwa ajili ya madada:doh::doh:
 

Wanaume za watu sumu
 
Wazuri wengi na wenye shepu kitandani zero kabisaaaaa so handsome wengi nao kitandani bureeeeee inawezekana shosti yako keshajua hilo ndo maana anaona huyo handsome ni galasa tuuuu. UZURI WA MKAKASI NDANI YAKE JIWE TUPU wahenga walisema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…