Mr.creative
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 492
- 117
sasa nikimununulia simu haiwezi kumletea matatizo kwa wazazi wke ? what to do for na as an emergency? isitoshe hata wiki bado
huyo demu ana umri gani kwanza,na yuko level gan ya elimu?ucje ukawa umetongoza kitoto cha nursery
Mimi nahisi huyo dada mtu atakuwa ana wasiwasi ya kuwa anamuweka mdogo wake matatizoni maana baadhi ya wanaume hupenda kuwachezea tu wanawake!
ingekua mm dada m2 nngekupa namba ya mama yake, ili upate fundisho! we machangudoa wakwako na wanaojieshimu wako, ebo km umejichokea kimaisha ebu endelea na hao nusu uchi wa usiku, toa mada zako zakizinifu!

nunua 3310 fasta mpe huyo demu ili muwasiliane na mujiachie.Nalog off
form four leaver 2011
Ana umri gani maana these days form four anaweza kuwa 16
Na wewe je una umri gani?