Dada mwenye uzoefu na customer care anahitajika haraka

Dada mwenye uzoefu na customer care anahitajika haraka

Manala An Academician

Senior Member
Joined
Oct 10, 2016
Posts
119
Reaction score
57
Sifa
1. Uwe na ushawishi mkubwa sana katika kuongea na wateja
2. Uwezo wa kujieleza vizuri bila uoga pamoja na lugha safi
3. Ujuzi wakufanya marketing itakuwa sifa ya ziada
4. Unadhifu wakati wote
5. Elimu haitakuwa kigezo kikuu kama anakidhi sifa hapo juu
6. Kazi itakuwa ya mkataba mwaka mmoja mmoja kutegemea na ufanisi wa kazi
7. Mshahara ni makubaliano, hata hivyo itategemea sana ufanisi na matokeo ya kazi yako
8. Ujuzi wa computer

Mahali
Mabibo, Dar es Salaam katika shule ya udereva

Angalizo
Atakayefuzu usaili atapewa muda wa matazamio kabla ya kuajiriwa rasmi

Wenye sifa hapo juu, tuma maombi kupitia whatsap namba 0765374146

Ahsante sana
 
'7. Mshahara ni makubaliano, hata hivyo itategemea sana ufanisi na matokeo ya kazi yako'

Hapo kwa kifupi umemwambia atalipwa kwa commission.
 
  • Thanks
Reactions: THT
Weka range ya mshahara itakua nahisi kukutafuta
 
Back
Top Bottom