yeyote ambaye yuko willingness? haijakaa vizuri; halafu kwenye hizo sifa ukisema etc, utaruhusu sifa za ziada ambazo zinaweza kukuacha hoi...
Ahsante mkuu
Hi JF: Natafuta rafiki wakike ambaye baadaye atakuwa mkewangu.
Sifa:
1.Mkristu.
2. Age range from 24-28 yrs old.
3. Usiwe ushatowa mimba .
3. Uwe na upendo wa dhati.
4. Education level; Form 4 and above.
5. Etc.
Sifa zangu;
1. Nina; higher diploma ya uchumi
2. Nina 30 yrs old
3. Nimejiajiri mwenyewe
4. Etc.
Kwayeyote ambaye yuko-willingness tuwasiliane kupitia my e-mail: jogookuku@ymail.com/kajogoo@ymail.com
mkuu hapo pekundu kama alishawahi kutoa lkn akakudanganya kuwa hajawahi utaweza kujua kuwa anakudanganya?
ushajiita bulldozer, unataka umbulldose nani?
mkuu hapo pekundu kama alishawahi kutoa lkn akakudanganya kuwa hajawahi utaweza kujua kuwa anakudanganya?