sifa zote ninazo isipokuwa ya kwanza mimi ni mkristo sio Mkritu
aseme ajue kupiga mizinga na vibomuUkifuta kigezo namba 3 utawapata wengi.
OTIS
aseme ajue kupiga mizinga na vibomu
Hi JF: Natafuta rafiki wakike ambaye baadaye atakuwa mkewangu.
Sifa: 1.Mkritu.
2. Age range from 24-28 yrs old.
3. Husiwe ushatowa mimba .
3. Huwe na upendo wa dhati.
4. Education level; Form 4 and above.
5. Etc.
Sifa zangu;
1. Nina; higher diploma ya uchumi
2. Nina 30 yrs old
3. Nimejiajiri mwenyewe
4. Etc.
Kwayeyote ambaye yuko-willingness tuwasiliane kupitia my e-mail: Kajogoo@yahoo.com
dada nafasi hiyo chukuweni
Ukifuta kigezo namba 3 utawapata wengi.
OTIS
Nina mdogo wangu anakidhi mahitaji yote, tatizo amesha toa mimba mara tatu, lakini ukimwona huwezi jua kabisa.Nimempa email yako muwasiliane.
Hauwezi kujua kama huyu kashawahi toa mimba kwa kuangalia tu.
.Hi JF: Natafuta rafiki wakike ambaye baadaye atakuwa mkewangu.
Sifa: 1.Mkristo.
2. Age range from 24-28 yrs old.
3. Husiwe ushatowa mimba .
3. Huwe na upendo wa dhati.
4. Education level; Form 4 and above.
5. Etc.
Sifa zangu;
1. Nina; higher diploma ya uchumi
2. Nina 30 yrs old
3. Nimejiajiri mwenyewe
4. Etc.
Kwayeyote ambaye yuko-willingness tuwasiliane kupitia my e-mail: Kajogoo@yahoo.com
dada nafasi hiyo chukuweni
nanyinginezo mkuu.
Hiyo sifa ya etc ndo ikoje
Mimi sijawahi kutoa mimba ila nna watoto watatu.
Vigezo vingine vyote nnavyo.
Hi JF: Natafuta rafiki wakike ambaye baadaye atakuwa mkewangu.
Sifa: 1.Mkristo.
2. Age range from 24-28 yrs old.
3. Husiwe ushatowa mimba .
3. Huwe na upendo wa dhati.
4. Education level; Form 4 and above.
5. Etc.
Sifa zangu;
1. Nina; higher diploma ya uchumi
2. Nina 30 yrs old
3. Nimejiajiri mwenyewe
4. Etc.
Kwayeyote ambaye yuko-willingness tuwasiliane kupitia my e-mail: Kajogoo@yahoo.com
dada nafasi hiyo chukuweni