Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Watu wanaofanya kazi moja kwa mwaka mzima harafu hawana exposure wala kuumiza kichwa nini wafanye baada ya hiyo kazi ndio madhara yake hayo huyu anamcheka mtu hana akili sasa kwa alichoandika sijui akili zipo wapi hapo..Hii dunia ipoje? Watu mnasimulia kila kitu ?
We unafaa kufanya kazi ya bank robbery kwenye crew yangu.Watu wote hapa wako upande wa huyo mwanamke mwenye matako makubwa, acheni nyege wakuu, hizo ni nyege zinawasumbua.
Mshikaji hapo keshakojoa kwahiyo Hana Cha kupoteza, angekuwa hajakojoa angeenda hata kumchukua Kigamboni ampeleke kazini Kibaha halafu yeye arudi Mikocheni.
Chai.Imagine asubuhi hii ananitumia msg kuwa nimpe lift kwenda kazini gari lake limekufa battery. Anaishi wapi?
Yeye anaishi Tabata Kifulu. Ofisi zake zipo Posta Town.
Mimi naishi Mbezi Makonde ofisi zangu zipo Mikocheni.
Haoni aibu na yupo serious ananiuliza umeshatoka home. Namwambia bado. Anasema nataka unipe lift mi gari leo imekataa kuwaka..
Yaani nitoke Mbezi Makonde, niende Tabata Kifulu nimpitie nimpeleke Posta Town. Kisha niende kazini kwangu Mikocheni.
Na yupo serious kabisa. Nimegundua hana akili. Amefanikiwa tu kupata shape na sura nzuri of course mtamu pia ila kichwani hamna kitu. Mtu mwenye akili nzuri asingewaza hilo jambo. Amenikatisha tamaa sana.
Mimi kitu kinacho nishangaza ni kwa nini wanawake kama mnajua ya kuwa mwanaume ndiye protector mbona huwa mnajifanya wajuaji?Zaa mwenye akili muelekeze akikua muoe.