Dada niliyekutana naye JF akawa mpenzi, leo tumetendana vibaya

🤣🤣🤣ninachofurahi ni kwamba mapenzi hayana mwenyewe mkuu....ukiliza huku utalizwa kule...yaan tafrani
Ila ongea ukweli rafiki yangu, kuna akina Joannah na mashoga kidawa wake humu ndani wanang'ang'ana eti dada kafanyiwa ukatili, hivi wanaujua ukatili au wanausikia?

Kuachwa hotelini umeshapewa na hela ya matumizi ni ukatili mkubwa sana?
 
Ila ongea ukweli rafiki yangu, kuna akina Joannah na mashoga kidawa wake humu ndani wanang'ang'ana eti dada kafanyiwa ukatili, hivi wanaujua ukatili au wanausikia?

Kuachwa hotelini umeshapewa na hela ya matumizi ni ukatili mkubwa sana?
Afu umeachwa sehemu salama ya kulala...pesa itumie kutokea out kapige vyombo rudi kwa bed lala
 
baada ya kusoma yote nimegundua sina la kusema. MAMELODI ni wakupigwa nje ndani nusu fainali ni lazima sio hiari
Kama makundi hakuna timu yoyote mliyoifunga ugenini😀😀😀
Itakuwa robo fainali kwa Mamelod?😀😀😀😀 msije mkakimbiana kama kwa Al Ahly😀😀😀
Pamoja na kujisifu kote ni timu 2 tu mlizozifunga tena mkiwa nyumbani, nilitegemea mtaanza kuifunga Boulzdad kwao, mkaja Madeama, Al Ahly hivyo hivyo.
N.B
Mkishindwa kuifunga Mamelod kwa Mkapa, imeisha. Niliwaambia mashabiki wa Yanga kabla ya kufuzu robo fanail. Mechi ya kushinda ni kwa Boulzdad wakabisha, wangetoka draw ndiyo wangetoka hivyo.
Baada ya kuipiga Boulzdad, wakajua wanaenda kuifunga Al Ahly, walichokutana nacho wanajua wenyewe.
 
Mimi ilimikuta hiyo,nilikuwa na demu mkali haswa alikuwa anafanya field pale mnazi mmoja hospital (nesi)aisee yule dada alinipiga vi 5000 na 10,000 sana,lakini papuchi nilizunguushwa mpaka.

Ilifika hatua kuacha nataka,ila mm ndio nitakuwa mpotezaji basi nikajitwika zigo hivyo hivyo,yaan papuchi zaid ya miezi6

Yeye alikiwa na destuli ya kukuahidi,sasa akaniambia jumanne nakupa papuchi,nikasema sawa baada ya muda akanipigia simu kwamba anashida ya 100,000.

Yaan kama Mungu nikamwambia jumamos nachukua hela ya mchezo nakupa,sasa pale akawa amejichanganya yeye kaahidi kunipa mbunye jumanne mie nikamwambia pesa nampa jumamosi hivyo ili kuilinda ile 100,000 maana yeye ndio alikuwa mbele kwenye ahad ilibidi anase tu.

Tulikutana buguruni Lodge aises nimekuta papuchi mbaya hatari,nilichofanya nikamtia midole nikamwambia siwezi ikingiza athumani humu,Yule demu kama aliweweseka,maana ameshajua 100,000 ameshaikosa.

Na kweli sikumpa hata nauli mpaka leo tumebaki maadui
 
Nawaomba moderator waanzishe tuzo ya uzi mrefu zaidi😀😀
 
Afu umeachwa sehemu salama ya kulala...pesa itumie kutokea out kapige vyombo rudi kwa bed lala
Unaweza kumtongoza mwanamke ukiwa na malengo naye ya kumuoa awe mke ila akawa ananata na kujiona sana. Matokeo yake ndiyo hayo analiwa mpaka tigo anaachwa huku umepewa hela ya nauli tu.
 
Afu umeachwa sehemu salama ya kulala...pesa itumie kutokea out kapige vyombo rudi kwa bed lala
Hayo ndo maneno, sawa na wewe mtu alipie Southerhighland Hotel pale Uyole, akuachie thate kisha akimbie...

Si unaenda tu kula supu ya kuku pale Makasini, kisha unarudi ghorofani kulala!

Utasema ni ukatili kisa tu hajakupa tena hela ya mtaji kama mwanzo?
 
Umekula "shadrat al munyah"kwa vaseline??.....umeshafungulia mlango wa umasikini...
 
Mkuu hem fafanua, uliikuta papa mbaya kivipi yani!
 
Kwa jinsi alivyo yaani unamsamehe tu hata kama ametoka kukuchoma kisu cha moyoni muda huo huo akisema samahani unamsamehe unachomoa kisu unamrudishia kisu chake baada ya kukiosha na kumwomba msamaha wewe kwa kumsababishia aone damu yako.
 
We misomisondo umepigaje hapo?
 
Matokeo hadi sasa FT
CHizi maafira 0- 5 Demu shy
Home and away aggr
 
Threads kama hizi ndiyo zinasababisha watu hapa jukwaani kuogopa kupeana contacts na connection maana mambo yakienda ndivyo sivyo,mtu anaogopa gazeti kama hili........
 
Ukamla na tigo
 
Kumbe ni Single mother, nilijua mtu wa maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…