Dada niliyekutana naye JF akawa mpenzi, leo tumetendana vibaya

Unajiita chizi, yani kifupi kichaa, mada zako za kutunga na uongo, na mwisho TAPELI.
 
Hiyo ndio ingekuwa revenge.

Kumuita mtu akaja hotelini akala, akanywa, akapata pipi ya kijiti akalala, halafu ukampa na hela ukaondoka, eti ukaita hiyo ni revenge!

You kidding?
🤣🤣🤣🤣Una roho kubwa sana ndugu yangu,kitendo Cha kumfumua tu marinda ni revenge tosha kabisa
 
Hii simulizi ina funzo ndani yake.

Lakini mkuu, kueleza 'in deep' namna ulivyofanya mapenzi na mwanamke ni kutuwekea mkanda wa X kwa njia ya riwaya, umetukosea adabu wanajamvi!

Tukija kwenye kiini cha mada, wanawake viruka njia, wengi hufunikwa na sura za huba na upole kuficha sifa za kuweza
kuutambua haraka ushetani wao.

Wanaume tumetofautiana kumbe, kwangu mimi nikitiwa maudhi ya namna hiyo na mwanamke, siwezi pata ashiki ya kufanya naye mapenzi, ni vigumu sana nitoke kutendwa na kwa muda huo huo nishushe hasira moyoni na ku adapt love, labda nitafute mwanamke mwingine ndiyo anipoze.

Kama naye ni mwana Jf kama ulivyoeleza, tunaomba apandishe link kujibu mapigo ili tumtathimini points zake alimaanisha nini kukufanyia umalaya wa kishamba namna hiyo member mwenzake!

Umalaya hakatazwi kuufanya kwa sababu K ni yake, lakini kitendo cha kumfanyia member ushenzi ni sawa na mwizi ama kibaka kufanyia wizi wake nyumbani kwao.
 
🤣🤣🤣🤣Una roho kubwa sana ndugu yangu,kitendo Cha kumfumua tu marinda ni revenge tosha kabisa
Ukute hayo marinda ni mazoefu tayari.

Na hata kama siyo mazoefu, kufumua marinda as a revenge, is a loose loose aproach, me anachafua uume, ke anapata maumivu tu, No gain to anyone...

A fool's revenge!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…