Dada niliyekutana naye JF akawa mpenzi, leo tumetendana vibaya

Daah.... Nikaanza kutetemeka kwa hasira. Pesa yangu kapokea.tena alinipa namba ya wakala so ameshatoa siwez irudisha. Unajua 15,000 ukitoa kwa moyo safi si tatizo. Ukipigwa inaumiza hasa kwa sis tunaojiona watoto wa mjini. Halafu ananipiga demu wa Kisukuma wa Shinyanga? Hajawahi fika hata Dar.
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Kaka mimi nime reply kwa style aliyo nitusi tu๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

And don't forget, our song 2:0 is still un completed
Mapenzi yanakuendesha kama vazi la wale mabinti wanaovaa nguo bila chupi kwenye nyimbo za uswahilini, yanaamua yakupeleke vipi
(kushoto kulia,juu chini,tepetepe) na huelewi.

Utawehuka,wahi kwa psychologist haraka au kamuombe msamaha yule binti.๐Ÿคฃ
 
Safi sana...
 
You played well wanawake wa aina iyo ni wapuuzi sana kuna demu nilimtumia nauli several times anakuwa na visingizio kibao mpaka akanitoka moyoni na nilikuwa na malengo nae, uyo unamwita tena unamtia
Mvumilie kuwa mpole kuna siku atajichanganya. Hapo mkamue kwa hasira sana. Halafu mwachie aende na alama ya kumbukumbu kila akikaa.
 
Ndio nini hii mkuu tumefunga ujue.
Ningesema neno lakini kwa mfungo huu Mungu anisamehe...๐Ÿ˜‚
 
 
SaFi sana kamanda,big up
 
Bro can you stop being a samaki jodari, akati we ni kyande tu๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ