Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Hivi umewahi kujiuliza mahali walipokimbilia wale dada poa (vipozeo) baada ya kudhibitiwa na mkuu wa wilaya ya Ubungo?
Wako wapi?
Ama wanafanya nini kwa wakati huu?
Walijiajiri ama kuajiriwa wapi?
Hii inastaajabisha sana! Hata Dinosours hawaku-perish kirahisi hivi kutoka kwenye uso wa dunia, maake hata mitaani hatuwaoni tena hao dada zetu
Sijauliza kwa ubaya, hali inazidi kuwa mbaya kila kukicha hususani kwa sie madomo zege, wazee wa kubana pesa a.k.a wana-UWABATA na ambao tuna makovu ya ajabu ya usaliti. CHAPUTA inazidi kudunda
Wako wapi?😭