Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Nimecheka kama falaHivi umewahi kujiuliza mahali walipokimbilia wale dada poa (vipozeo) baada ya kudhibitiwa na mkuu wa wilaya ya Ubungo?
Wako wapi?
Ama wanafanya nini kwa wakati huu?
Walijiajiri ama kuajiriwa wapi?
Hii inastaajabisha sana! Hata Dinosours hawaku-perish kirahisi hivi kutoka kwenye uso wa dunia, maake hata mitaani hatuwaoni tena hao dada zetu
Sijauliza kwa ubaya, hali inazidi kuwa mbaya kila kukicha hususani kwa sie madomo zege, wazee wa kubana pesa a.k.a wana-UWABATA na ambao tuna makovu ya ajabu ya usaliti. CHAPUTA inazidi kudunda
Wako wapi?😭
wapo tabata segerea chama gest moja hivi mbele ya hiyo gesti kuna frem za za kampuni moja maarufu sana ya kuuza ya Icream ndiko hujianika hapo kuanzia saa1 usiku mara tu baada ya duka hilo kufungwa.Hivi umewahi kujiuliza mahali walipokimbilia wale dada poa (vipozeo) baada ya kudhibitiwa na mkuu wa wilaya ya Ubungo?
Wako wapi?
Ama wanafanya nini kwa wakati huu?
Walijiajiri ama kuajiriwa wapi?
Hii inastaajabisha sana! Hata Dinosours hawaku-perish kirahisi hivi kutoka kwenye uso wa dunia, maake hata mitaani hatuwaoni tena hao dada zetu
Sijauliza kwa ubaya, hali inazidi kuwa mbaya kila kukicha hususani kwa sie madomo zege, wazee wa kubana pesa a.k.a wana-UWABATA na ambao tuna makovu ya ajabu ya usaliti. CHAPUTA inazidi kudunda
Wako wapi?😭
Wanaendelea na biashara yao kama kawaida, yeye DC nani hadi azuie watu kungonoka?Hivi umewahi kujiuliza mahali walipokimbilia wale dada poa (vipozeo) baada ya kudhibitiwa na mkuu wa wilaya ya Ubungo?
Wako wapi?
Ama wanafanya nini kwa wakati huu?
Walijiajiri ama kuajiriwa wapi?
Hii inastaajabisha sana! Hata Dinosours hawaku-perish kirahisi hivi kutoka kwenye uso wa dunia, maake hata mitaani hatuwaoni tena hao dada zetu
Sijauliza kwa ubaya, hali inazidi kuwa mbaya kila kukicha hususani kwa sie madomo zege, wazee wa kubana pesa a.k.a wana-UWABATA na ambao tuna makovu ya ajabu ya usaliti. CHAPUTA inazidi kudunda
Wako wapi?😭
DC hovyo sana! Hii kitu imeshindikana imebidi ulaya wahalalishe walipe Kodi TU!Wanaendelea na biashara yao kama kawaida, yeye DC nani hadi azuie watu kungonoka?
DC aliutaka RC kwa nguvu....pia sababu imani moja alijua nitasikika na kupandishwa......Mama angemsikia kumsifiaaaDC hovyo sana! Hii kitu imeshindikana imebidi ulaya wahalalishe walipe Kodi TU!
Alitukwaza sana wana-Ubungo na wana Daslam kwa ujumla, ona sasa wimbi la wanaume linahamia kwenye sketi za kijana kibichi zenye marinda kwa lengo la kutatua na kuharibu. Huku ni kutwishana mzigo wa miaka 30 bila sababuDC aliutaka RC kwa nguvu....pia sababu imani moja alijua nitasikika na kupandishwa......Mama angemsikia kumsifiaaa
Ulikwenda wapi ukawakosaHivi umewahi kujiuliza mahali walipokimbilia wale dada poa (vipozeo) baada ya kudhibitiwa na mkuu wa wilaya ya Ubungo?
Wako wapi?
Ama wanafanya nini kwa wakati huu?
Walijiajiri ama kuajiriwa wapi?
Hii inastaajabisha sana! Hata Dinosours hawaku-perish kirahisi hivi kutoka kwenye uso wa dunia, maake hata mitaani hatuwaoni tena hao dada zetu
Sijauliza kwa ubaya, hali inazidi kuwa mbaya kila kukicha hususani kwa sie madomo zege, wazee wa kubana pesa a.k.a wana-UWABATA na ambao tuna makovu ya ajabu ya usaliti. CHAPUTA inazidi kudunda
Wako wapi?😭
Pale Leopard - Manzese na Kando ya Mto - Ubungo, mkuu😭Ulikwenda wapi ukawakosa
Njoo Mbezi ya Kimara muda huu.Pale Leopard - Manzese na Kando ya Mto - Ubungo, mkuu😭
Vipi huko Kimara, bado Disi hajapasanukia kweli? Asiwe akawa ananisubiri ninase mtegoni halafu alete karandinga, ihiii naloshima!Njoo Mbezi ya Kimara muda huu.
Lubumbashi nzima inanuka papa.
Hapo lubumbashi hapafai, yan ni pachafu afu malaya nao ni wa hovyo kweli kweli, lile eneo lina laana, yan ukipita sahv wako wengi kama utitiriNjoo Mbezi ya Kimara muda huu.
Lubumbashi nzima inanuka papa.
Nitumie location mkuu nikachafuke na mimiHapo lubumbashi hapafai, yan ni pachafu afu malaya nao ni wa hovyo kweli kweli, lile eneo lina laana, yan ukipita sahv wako wengi kama utitiri
Sasa hv wapo liwale kwenye koroshoHii biashara ni kazi kuicontrol nilikuwa nimeenda vijiji vya mkoa njombe lugenge, uliwa , ngalanga, lusitu na miva kwa kazi flan kule Kuna wadada wametoka mjini wamekuja kuzisaka pesa za vijana walima viazi kijana anayeitaji huduma anakunjia pesa kwenye sikio bi dada anamfata wanamalizana , msimu wa viazi ukiisha wadada wote wanapotea wanakwenda kwingineko kusaka mali
Ingia google map mkuuNitumie location mkuu nikachafuke na mimi