Elections 2010 Dada Regia aka Gendersensitive

MwanaFalsafa1

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
5,565
Reaction score
843
Jamani wakuu kuna yoyote mwenye taarifa ya dada yetu huyu? I love this lady na hoja zake alizo kuwa akizitoa humu JF. Mara ya mwisho nili sikia ana nafasi nzuri tu ya kushinda ila tokea kura zipigwe rasmi Jumapili sija sikia chochote.
 
Kwani alikuwa jimbo gani?
 
Naongea na mtu kutoka Ifakara sasa, ananiambia kura bado zinajumlishwa lakini vituo vingi vya vijini, chita, mlimba, etc. Regia anaongoza na mteketa wa ccm anaongoza pale ifakara mjini tu! lets cross our fingers!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…